INTRO Ooh, izo ni zama za kale, Ohh, sanguro na pepe kalee Zilipendwa Rayvanny Eeh kizamani, kutoa kadi na maua (zilipendwa) Wanataka mali,ukilipa unakwarua (zilipendwa) Ufundi kitandani,sio maguvu kujikamua(zilipendwa) Unafika ndani,hujatomasa unachanua (zilipendwa) Wanawake wa leo, wanataka mikakati, Ukiwa mzugaji,hakya mungu huwapati, Mapenzi ya video yanakutoa kamasi, Eti nikinywa maji, nakuona kwenye glasi (zilipendwa) Eeh kupiga chabo ghetto (zilipendwa) Sunche na kapeto (zilipendwa) Konno na detto (zilipendwa) Sunche na kapeto (zilipendwa) Majey na mobeto (zilipendwa) Diamond Ooh, izo ni zama za kale, oooh, sanguro mapepe kale Mmmhh Boringo ndomboro (zilipendwa) Twanga chipolopolo (zilipendwa) Maji ya kandoro (zilipendwa) Simba wa morogoro (zilipendwa) Rich Mavoko Mtaani sipati, skari guru kabisa (zilipendwa) Ivi yuko api ,mb dog wa Latiffa (zilipendwa) Babu Tale wapi papa misifaa (zilipendwa) Sikuiz party, hatuendagi kabisaa (zilipendwa) Mpira na Pe...