NEW VIDEO : BEKA FLAVOUR - SIKINAI | Deniswite

Msanii Beka Flavour kutoka kundi la Yamoto Band baada ya kufanya vizuri na single yake ya ‘Libebe’, ameachia video mpya ya wimbo uitwao ‘Sikinai’. Video imeongozwa na kampuni ya Kwetu Studio , Director Travellah

Comments

Popular posts from this blog