Tanzania 1st Blogger for News , Videos and Enterntainment News
PICHA : ZA TAMASHA LA KUSIFU NA KUABUDU ILIYOFANYIKA KKKT TABATA SHULE
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Karibu kuangalia video ambayo ina matukio ya Tamasha la vijana ambalo lilifanyika Usharika wa Tabata Shule ambalo lilihuduliwa na Vijana wa Kwaya nyingi sana za DMP
Askofu DMP - Dr Alex Geaz Malasusa alikuwa akizindua jina Jipya la Usharika wa Tabata Shule ambapo Zaman ulitwa Usharika wa Matumbi Na hii imetokana na Washarika kulalamika na weng kupotea kwa kuwa jina haliendan na mahali kanisa lilipo
Comments
Post a Comment