Mama Diamond alivyokwenda mtoto wa Hamisa Mobeto Hospitalini | UBUYU EXLUSIVE

Stori kuwa mtoto wa Hamisa Mobetto ni mtoto wa Diamond zimeendelea kuchukua headlines baada ya kuoneshwa video fupi kwenye The Weakend Chat Show ambayo ilionesha familia ya Diamond ikiongozwa na mama yake mzazi wakiingia Hospitali kumuona Hamisa Mobetto aliyejifungua hivi karibuni.
Pande zote mbili zimekuwa zikikanusha taarifa hizo ambapo mara nyingi wamekuwa wakibainisha kwenye interviews mbalimbali kuwa taarifa hizo ni uzushi mtupu lakini kwa tukio hili ambali limeoneshwa kupitia The Weekend Chat Show ya Clouds TV usiku wa August 11, 2017 ambapo ilioneshwa video ya mama wa Diamond na wengine wa familia yake akiwepo dada yake Esma wakiingia Hospitali kumuona mtoto wa Hamisa baada ya kujifungua.

Comments

Popular posts from this blog