Posts

Showing posts from August, 2017

PICHA : ZA TAMASHA LA KUSIFU NA KUABUDU ILIYOFANYIKA KKKT TABATA SHULE

Image
Karibu kuangalia video ambayo ina matukio ya Tamasha la vijana ambalo lilifanyika Usharika wa Tabata Shule ambalo lilihuduliwa na Vijana wa Kwaya nyingi sana za DMP

WCB ARTISTS - ZILIPENDWA LYRICS , DIAMOND,RAYVANNY, RICH MAVOKO, MBOSSO, LAVA LAVA

INTRO Ooh, izo ni zama za kale, Ohh, sanguro na pepe kalee Zilipendwa Rayvanny Eeh kizamani, kutoa kadi na maua (zilipendwa) Wanataka mali,ukilipa unakwarua (zilipendwa) Ufundi kitandani,sio maguvu kujikamua(zilipendwa) Unafika ndani,hujatomasa unachanua (zilipendwa) Wanawake wa leo, wanataka mikakati, Ukiwa mzugaji,hakya mungu huwapati, Mapenzi ya video yanakutoa kamasi, Eti nikinywa maji, nakuona kwenye glasi (zilipendwa) Eeh kupiga chabo ghetto (zilipendwa) Sunche na kapeto (zilipendwa) Konno na detto (zilipendwa) Sunche na kapeto (zilipendwa) Majey na mobeto (zilipendwa) Diamond Ooh, izo ni zama za kale, oooh, sanguro mapepe kale Mmmhh Boringo ndomboro (zilipendwa) Twanga chipolopolo (zilipendwa) Maji ya kandoro (zilipendwa) Simba wa morogoro (zilipendwa) Rich Mavoko Mtaani sipati, skari guru kabisa (zilipendwa) Ivi yuko api ,mb dog wa Latiffa (zilipendwa) Babu Tale wapi papa misifaa (zilipendwa) Sikuiz party, hatuendagi kabisaa (zilipendwa) Mpira na Pe...

VIDEO : DIAMOND,RICH MAVOKO, RAYVANNY, HARMONIZE, QUEEN DARLEEN, LAVALAVA, MBOSSO - ZILIPENDWA (Official Music Video) | Deniswite

Image
Wasanii wa WCB wametuletea nyimbo kali iitwayo zilipemdwa ambayo wameimba wote , Diamond, Rich Mavoko, Rayvanny, Harmonize, Queen Darleen, Lavalava , Mbosso Enjoy Kuisikiliza

VIDEO : JUX - UTANIUA (Official Music Video) |Deniswite

Image
Juma Jux , kutoka Tanzania ambae anafanya vizuri na nyimbo zake zote kuanzia Uzuri Wako hadi Umenikamata ambayo hadi leo bado inafanya Vizuri, Leo ametuletea h

VIDEO : ALIKIBA - SEDUCE ME | Official Music Video ) |Deniswite

Image
Baada ya kimya cha muda mrefu , Alikiba a.k.a king Kiba amevunja ukimya kwa kuachia wimbo mwingine leo waitwa Seduce Me Enjoy kuangalia

VIDEO : ROMA FT STAMINA - HIVI AMA VILE (Official Video) | Deniswite

Image
Roma na Stamina au unaweza waita WAPINZANI WA JADI , wametuletea Video kali inaitwa Hivi ama Vile , ambapo ndani ya nyimbo hio Wema na Zari wamezungumziwa Enjoy kuangalia Video imeongozwa na Nicklass

VIDEO : Q BOY MSAFI - UNAANZAJE | Deniswite

Image
Ni zamu ya Q boy mwenye usafi wake katuletea hii nyingine inaitwa UNAANZAJE? Enjoy kuitazama

VIDEO - DAYNA NYANGE - CHOVYA | Deniswite

Image
Dayna nyange baada ya Kukomelea sanaa na kwenye ngoma ya Komela Ambayo aliifanya na Bilnass, Sasa ametuletea hii kali nyingine inaitwa Chovya , ambayo ndani ya Video hii ameonekana Mdogo wake Drake Video Imeongozwa na Kwetu Studio

VIDEO - BILL NASS - SINA JAMBO | Deniswite

Image
Mkali Billnass a.k.a Billenga baada ya kufanya vizuri na Mazoea leo  ametuletea Chupa Kali na wimbo mkali unaitwa Sina Jambo Video imeongozwa na Kwetu Studio

NEW AUDIO - ROMA FT STAMINA - HIVI AMA VILE (2017) |Deniswite

Image

NEW VIDEO - LAVA LAVA - DEDE (Official Music Video) | Deniswite

Image
Msanii Lava Lava baada ya kufanya vizuri na Wimbo Bora Tuachane , Leo ametuletea Video ya Wimbo wake Dede Enjoy Kuusikila

NEW VIDEO FID Q - FRESH

Image
Fid Q, mkali wa Hip Hop anatuka"ribisha kuangalia Wimbo wake mpya unaitwa Fresh

NEW VIDEO MRISHO MPOTO FT KASSIM MGANGA - KITENDAWILI |Deniswite

Image
Mristo mpoto anatukaribisha kuangalia Video ya Wimbo wake mpya kabisa KITENDAWILI alimshirikisha Kassim Mganga Video imeongozwa na Joowzey

New Video - MO MUSIC FT BARAKAH DAPRINCE - USINIACHE | Deniswite

Image
Mo Music hataki kuachwa kabisa ndo mana ametuletea hii Hit Song inaitwa usiniache , Amemshirikisha Baraka Daprince, Enjoy GoodMusic

NEW VIDEO FROM Grace Matata ft Wakazi - Dakika Moja | Deniswite

Image
Najua ni kwa muda mrefu mlimmisi Grace Matata , sasa kwa wale wapenz wa Grace Matata amewaletea hii Amemshirikisha Wakazi , Nyimbo Yaitwa "Dakika moja"

MAAJABU : Ng'ombe wa blue Aonekana mto Ruvu

Image
Ni maajabu yanazidi kuonekana Tanzania , Ng 'ombe mwenye Rangi Ya blue aonekana mto Ruvu Akinywa Maji na Ng'ombe

Mama Diamond alivyokwenda mtoto wa Hamisa Mobeto Hospitalini | UBUYU EXLUSIVE

Image
Stori kuwa mtoto wa Hamisa Mobetto ni mtoto wa Diamond zimeendelea kuchukua headlines baada ya kuoneshwa video fupi kwenye The Weakend Chat Show ambayo ilionesha familia ya Diamond ikiongozwa na mama yake mzazi wakiingia Hospitali kumuona Hamisa Mobetto aliyejifungua hivi karibuni. Pande zote mbili zimekuwa zikikanusha taarifa hizo ambapo mara nyingi wamekuwa wakibainisha kwenye interviews mbalimbali kuwa taarifa hizo ni uzushi mtupu lakini kwa tukio hili ambali limeoneshwa kupitia The Weekend Chat Show ya Clouds TV usiku wa August 11, 2017 ambapo ilioneshwa video ya mama wa Diamond na wengine wa familia yake akiwepo dada yake Esma wakiingia Hospitali kumuona mtoto wa  Hamisa  baada ya kujifungua.

NEW VIDEO : BEKA FLAVOUR - SIKINAI | Deniswite

Image
Msanii Beka Flavour kutoka kundi la Yamoto Band baada ya kufanya vizuri na single yake ya ‘Libebe’, ameachia video mpya ya wimbo uitwao ‘Sikinai’. Video imeongozwa na kampuni ya Kwetu Studio , Director Travellah

NEW VIDEO FROM GIGY MONEY - PAPA

Image
New Video from Video Vixen from TANZANIA  , Gigy Money name of song is PAPA Video Directed by LUCCA SWAHILI

NEW VIDEO LULU DIVA - GIVE IT TO ME | Deniswite

Image
New Music Video from Luludiva a.k.a Sex Lady titled Get It Me Welcome to Watch this New Video

New Video Kutoka kwa MADEE FT TEKNO - SIKILA | Deniswite

Image
Ni zamu ya Madee Ali kutoka Tiptop Connectio anatuletea nyimbo yake aliyomshirikisha Tekno Kutoka Nigeria, Anawakaribisha kuitazama hii

NEW VIDEO FROM MR NAY FT RICH MAVOKO - ACHEZE | Deniswite

Image

NEW VIDEO : ROMA MKATOLIKI - ZIMBABWE | Deniswite

Image

NEW MUSIC KUTOKA KWA ASLAY - LIKIZO | Deniswite

Image

VIDEO MPYA KUTOKA WCB NI RAYVANNY - CHUMA ULETE

Image